0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hayati Dk.Omar Ali Juma lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake, Pemba


Mke wa Rais,Mama Janeth Magufuli akiomba dua kwenye kaburi la aliyewahi kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hayati Dkt. Omar Ali Juma lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake, Pemba

Post a Comment

 
Top