
Penati ya dakika za mwisho ya Santi Cazorla imeipatia ushindi usiotarajiwa Arsenal dhidi ya Southampton ambayo ilionekana kuwa imara licha ya kuwa ugenini katika dimba la Emirates.
Katika mchezo huo Southampton ilipata goli la kuongoza baada ya kipa Petr Cech kuugonga mpira wa adhabu uliopigwa Dusan Tadic na kugonga mwamba na kisha mpira huo kurudi na kumgonga mgongoni na kuingia wavuni.

Shuti lililopigwa na Dusan Tadic likiingia wavuni baada ya kugonga kipa Petr Cech

aurent Koscienly akifunga kwa mpira wa tik taka
Post a Comment