0

chid1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
chid2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
chid3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiagana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.

Post a Comment

 
Top