0

 

Kurejea kwa Lionel Messi kuichezea timu ya taifa, huenda kukacheleweshwa na kuwa majeruhi, lakini wachezaji wenzake wa Argentina wanaonekana kutovunjika moyo kumkosa nyota huyo.

Timu ya Barcelona imetangaza kwamba Messi ameumia misuli ya paja lake la mguu wa kushoto, hivyo huenda asicheze mchezo wa ujao wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2018.

Hata hivyo timu ya taifa ya Argentina ilionekana ikiwa kwenye hari ya hali ya juu mazoezini huku mbwa akijiunga nao kwenye mazoezi. 
 
Wachezaji wa Argentina wakifanya mazoezi na mbwa 
 
Majeruhi Lionel Messi akiwa amekaa chini  

Post a Comment

 
Top