
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar (1972-1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia hapo jana mchana nyumbani kwake mji mwema Kigamboni jijini Dar es salaam na anatarajiwa kuzikwa leo Zanzibar. Imeelezwa kuwa kutokana na umri wake maradhi mbalimbali yalikuwa yakimsumbua.
Post a Comment