0














Miili ya wapanda milima wawili Wamarekani imepatikana kwenye eneo la theluji katika mlima wa Himalaya ikiwa ni miaka 16 kupita tangu wauwawe na maporomoko ya makubwa theluji.

Mpanda milima maarufu duniani, Alex Lowe, alikuwa amepanda umbali wa mita 8,013 katika kilele cha Shishapangma huko Tibet Oktoba 1999, akiwa na mpiga picha wake David Bridges walipokumbwa na maporomoko hayo ya theluji.



Alex Lowe na David Bridges wamepatikana wiki iliyopita miili yao ikiwa bado imefunikwa na theluji.

Post a Comment

 
Top