0












Muwania urais wa Republican anayeongoza, Bw. Donald Trump, ameituhumu China kwa 'kuibaka' Marekani, ikiwa ni muendelezo wa kurejea kauli zake za kuikosoa China dhidi ya sera zake za biashara.

Bw. Trump ambaye ni mfanyabiashara bilionea amewaambia watu waliofika kwenye mkutano wake wa Indiana kuwa China inahusika na wizi mkubwa katika historia duniani.


Bilionea huyo kwa muda mrefu amekuwa akiituhuma China, kwa kucheza na fedha yake ili kuzifanya bidhaa za nchi hiyo kuwa na unafuu katika soko la dunia.

Post a Comment

 
Top