
Kesi ya mwanasoko wa Argentina na Barcelona Lionel Messi kuhusiana na kukwepa kodi imeanza kusikilizwa nchini Hispania.
Messi na baba yake Jorge, ambaye ndiye msimamizi wa masuala ya fedha zake, wanatuhumiwa kukwepa kulipa kodi Hispania ya zaidi ya dola milioni 4.5 mwaka 2009.
Mamlaka nchini Hispania zimedai kuwa wawili hao walitumia mataifa yayotumika na wakwepa kodi ya Belize na Uruguay kuficha mapato.
Post a Comment