Rais John Pombe Magufuli leo Jan 21 2016 aliwasili Arusha ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu ameingia madarakani, Rais anatarajia kuwatunuku kamisheni maafisa wanafunzi wa kundi la 57/15 katika chuo cha mafunzo ya kijeshi (TMA) Mondul
Tazama picha za matukio yote hapo chini.
Post a Comment