0



     











Stori kutoka katika mitandao kazaa barani Ulaya hususani Uingereza, imekuwa ikiripoti kwa karibu mpango wa Chelsea kutaka kusajili nyota wapya kikosi. Chelsea siku kadhaa nyuma ilikataliwa kumsajili kiungo wa Shakhtar Donetsk Alex Teixeira licha ya kutoa ofa ya pound milioni 30.











January 21 stori kutoka express.co.uk inaripoti kuwa klabu ya Chelsea ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mazungumzo ya kumsajili Alexandre Pato kutoka klabu ya Corinthians, lakini kama itashindikana wataomba kumchukua kwa mkopo. Chelseapia inahusishwa kutaka kumsajili Carlos Bacca wa AC Milan na Saido Berahinowa West Brom.



Post a Comment

 
Top