Jose Mournho kwa sasa ni kocha huru..hii ni baada ya kufukuzwa katika klabu ya Chelsea baada ya kuonekana ikisuasua kwenye ligi kuu msimu huu.
Kocha huyo bado ameonekana kutamani kuzifundisha klabu za ligi kuu na sasa ameamua kuandika barua yenye kurasa sita kwa uongozi wa klabu ya Man United akizungumzia mipango yake mipya ya kuhakikisha anaiweka klabu hiyo kwenye nafasi nzuri na kusisitiza atabadilika.


Post a Comment