Katika kuelekea uchaguzi wa serikali ya wanafunzi unao tarajia kufanyika katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) shamra shamra za uchukuaji fomu zimendele chuoni hapo huku wanafunzi chuoni hapo wakichukua fomu hizo kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.
Nafasizinazowaniwa katika uchaguzi huo nipamoja na Rais wa serikali ya wanafunzi,Makamu wa serikali ya wanafunzi,Katibu wa serikani ya wanafunzi pamoja na Afisa mahusiano wa serikali ya wanafunzi.
Shughuli za usimamiaji wa uchukuaji fomu hizo zina ratibiwa na Anna Elias ambaeni Mwenyekiti akishirikiana na Raymond Willium ambae ni katibu wa tume hiyo ya uchaguzi chuoni hapo
Kadhalika pia katibu wa tume hiyo ameeleza kuwa kwa sasa kampeni za uchaguzi huo hazijafunguliza hivyo kuwa taka wagombea hao waliochukua fomuhizo za kuwania nafasi mbalimbali chuoni hapo kuwa na subira mpaka pale watakapo tangaziwa tarehe rasmi ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi huo.
Post a Comment