1
Image result for TFF TZ
Kamati ya maadili ya TFF imetoa hukumu leo Ijumaa Januari 19, 2018 kwa viongozi wa nne wa soka waliokuwa wakituhumiwa kwa kughushi na udanganyifu wa mapato ya mchezo wa ligi kuu kati ya Ndanda FC dhidi ya Simba uliochezwa uwanja wa Nangwanda Sijaona Mtwara Disemba 30, 2017.
Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw. Hamid Mbwezeleni ametangaza kumfungia Dustan Mkundi kutojihusisha maisha na masuala ya soka, Mkundi alikuwa ni msimamizi wa kituo cha Mtwara.
Kamati hiyo pia imemfungia Kizito Mbano kutojihusisha na masuala ya soka kwa miaka mitano, Mbano alikuwa ni Katibu Mkuu wa chama cha soka mkoa wa Mtwara.
Selemani Kachele ambaye ni Katibu msaidizi wa klabu ya Ndanda amepewa onyo kali huku mhasibu wa Simba Selemani Kahumbu akiondelewa tuhuma dhidi yake.
Kamati hiyo imesema, watuhumiwa hao walishtakiwa mbele ya kamati kwa tuhuma za kughushi kwamba mapato ya mchezo wa Ndanda vs Simba yalikuwa ni zaidi ya Tsh. 34,000,000 lakini ilithibitika mapato katika mechi hiyo yalikuwa ni zaidi ya Tsh. 37,000,000.

Post a Comment

  1. Nataka kutoa ushuhuda kuhusu jinsi nilivyopona kutokana na Virusi vya Herpes. Miezi michache iliyopita nilikuwa na dalili kadhaa. Nilienda kumuona daktari na vipimo vingi vya damu vilifanywa kwangu, baadaye niliambiwa nilikuwa na Herpes. Daktari wangu aliniambia kwamba hakuna tiba ya Herpes. Nilijisikia vibaya, niliingia mtandaoni nikitafuta tiba inayowezekana ya Virusi vya Herpes, niliona chapisho la Dkt. Dawn, daktari wa mitishamba anayewasaidia watu kupona kutokana na Herpes. Saratani. VVU na mengineyo. Niliwasiliana naye na kumwambia jinsi ninavyohisi. Alisema dawa yake ya mitishamba inaweza kuniponya. Alinitumia dawa kupitia huduma ya utoaji wa UPS na nilipokea dawa siku 6 baada ya kuituma, nilichukua dawa kama alivyoniagiza. Kabla sijakamilisha dawa dalili zilisimama. Nilienda kwa daktari na kufanya kipimo kingine cha damu, cha kushangaza nilikuwa hasi. Sijapata dalili tena. Dkt. Dawn ni mzuri na unaweza
    kuwasiliana kwenye WhatsApp: +2349046229159
    Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )

    Ikiwa unahitaji dawa za mitishamba kutibu magonjwa yoyote sugu au ya zinaa kama.
    HERPES.
    SARATANI.
    VVU/UKIMWI na zaidi

    ReplyDelete

 
Top