
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa ratiba ya makundi ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika mwaka 2019 (AFCON2019) michuano ambayo itafanyika nchini Cameroon.
Tanzania imepangwa katika kundi L ikiwa pamoja na Uganda, Lesotho na Cape Verde.
Michuano hii hufanyika kila baada ya miaka miwili ambapo mwaka 2017 inafanyikia nchi Gabon ambapo inatarajiwa kuanza leo Januari 14, 2017.

Post a Comment