
Ushindi wa Donald Trump umeibua maandamano katika maeneo tofauti ya Marekani huku baadhi ya waandamanaji wakiwasha moto taka, kuvunja vioo vya madirisha na kuchoma moto bendera ya Marekani.
Wafuasi wa Donald Trump na Hillary Clinton wamepigana nje ya Ikulu ya Marekani huku wananchi wengi wakishindwa kuamini ushindi wa kushangaza wa Trump katika uchaguzi wa rais uliokuwa na ushindani mkali.

Taka zikiwa zimewashwa moto na Wamarekani waliochukizwa na ushindi wa Donald Trump


Post a Comment