0


Maaskofu na wachungaji wakiuombea mwili wa Spika Mstaafu, Marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yaliyofanyia Urambo Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yake yaliyofanyika Urambo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa Spika Mstafu , marehemu Samuel Sitta akiongozwa na Mgalula Fundikira kwenda kwenye kaburi la mwanae katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika urambo, Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjane wa Marehemu Spika Mstaafu, Margareth Sitta, Mama Mzazi wa marehemu, na watoto wa marehemu wakigusa jeneza na kushuhudia wakati mwili wa marehemu Samuel Sitta ulipoteremshwa kaburini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Bibi Kagoli Fundikira ambaye ni Mama Mzazi wa marehemu Spika Mstaafu Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mwanane katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Tabora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mama Margareth Sitta ambaye ni Mjane wa marehemu Spika mstaafu, Samuel Sitta akitupa udongo kwenye kaburi la mumewe katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Viongozi wa Vyama vya siasa na serikali pamoja na wanafamilia wakiweka udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta wakiweka shada la maua kwenye kaburi katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mama Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika Mstafu, marehemu Samuel Sitta akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe katika mazishi yaliyofanyika Urambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu, marehemu Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na familia ya Spika Mstaafu marehemu Samuel Sitta baada ya mazishi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na maaskofu walioshiriki katika ibada ya mazishi ya Spika Mstaafu, Samuel Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment

 
Top