Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azan Zugu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka baada ya kuahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Bunge , Mussa Azzan Zungu akiahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka
Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment