Hii ndio Video Mpya ya Wimbo wa Rosa Ree Kutoka The Industry iliyoko Chini ya Nahreel Saturday, November 12, 2016 KIMARO MEDIA 0 BURUDANI A+ A- Print Email Rapper Mkali wa Kike kutoka Tanzania Rosa Ree Aliyoko chini ya lebo ya Mziki ya The Industry jana ameachia Rasmi wimbo wake wa Kwanza unaoitwa One Time, Nimekuwekea video hapa,kazi kwako kutazama,,,,,,,
Post a Comment