
Klabu za Ligi Kuu ya Uingereza zimetumia zaidi ya paundi milioni 155 katika siku ya mwisho ya uhamisho na kuweka rekodi ya uhamisho wachezaji uliofikia kiasi cha paundi bilioni 1.165.
Kabla ya kufikia jana timu za Uingereza zilishakuwa zimetumia kiasi cha paundi bilioni 1.005, na sasa uhamisho wa msimu huu wa majira ya joto, umevunja rekodi ya mwaka jana ya paundi milioni 870.
Klabu 20 zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza zimenufaika na makubaliano ya malipo ya televisheni yaliyoweka rekodi ya p kuanzia msimu huu.

Mchezaji wa Manchester United Paul Pogba uhamisho wake unaofikia paundi milioni 100 umeweka rekodi
aundi bilioni 5.1
Post a Comment