
Michuano ya Olimpiki 2016 kwa walemavu wapatao 4,300 imefunguliwa kwa shamrashamra za aina yake Jijini Rio nchini Brazil.
Tafauti ya michuano ya Olimpiki iliyomalizika kukosa watazamaji wa kutosha michuano ya Olimpiki walemavu inaonekana kujaa watazamaji kutokana na kuuzwa tiketi 2,000.

Kikundi kikitumbuiza wakati wa sherehe za ufuguzi wa michuano hiyo

Timu ya walemavu ya Tunisia ikiingia uwanjani kwa madaha

Timu ya walemavu ya Hispania ikiingia uwanjani kwa mbwembwe

Wachezaji walemavu wa Canada wakiingia uwanjani
Post a Comment