1. Kununua Mashine za kukoroga zege nakukodisha.2. Kununua Mashine za kukata vyuma nakuzikodisha.3. Kutengeneza na kuuza tofali4. Ufundi, Website updating/Database: KatikaHalmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilayana Makampuni mbalimbali.5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vyaelectroniki na mawasiliano mfano; compyuta navifaa vya compyuta na mawasiliano.7. ** Kuuza software; mfano Antivirus, OperatingSystems, Pastel, Tally, Myob, n.k8. Kushona na kuuza nguo.9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks,batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo,Mbuzi, Ngombe, Kuku, Bata, na wengine.11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu navifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo.12. ** Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengenezapopcorn na kuziuza.14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafutana zinazotumia mafuta16. ** Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana nahali ya hewa ya sehemu husika.17. Kuuza Mitumba18. ** Kusimamia miradi mbalimbali19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali20. Kufungua banda la chakula na chips21. Kukodisha turubai viti na meza22. Kufungua Supermarket23. Kufungua Saluni24. Kufungua Bucha25. Video Shooting & Editing.26. ** Kufungua Internet cafe27. Duka la kuuza matunda28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu zamkononi na landline.29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaavya umeme, duka la mabati30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba namiradi ya ICT31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Buildingcontractor)33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua(solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vyasolar n.k34. ** Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.36. Kukodisha Music37. Kuanzisha Mradi wa Taxi38. ** Kuanzisha mradi wa Daladala39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters,HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaavingine.40. ** Kununua magenerator na kukodisha41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu42. ** Kufungua kampuni ya kutoa huduma zainternet (ISP)43. Kuuza mabati na vigae44. Kujenga apartments45. ** Kufungua Kisima cha mafuta ya taa aumafuta ya aina zote46. Kufungua Duka la samaki47. Kufungua Duka la nafaka48. ** · Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi,Sekondari na Vyuo.49. Kujenga hostel50. Kuuza vocha na vingamuzi vya DStv, Zuku,Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.51. ** · Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme nakuuza katika viwanda na wananchi.52. Ufundi simu53. Kufungua Hospitali, Zahanati.54. Maabara ya Macho, Meno55. ** Kuchimba/Kuuza Madini56. ** Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu nafax57. Kuuza miti na mbao58. Kufungua Grocery, bar59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha60. ** Kucharge simu/battery61. Duka la TV na vifaa vingine62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katikasherehe na tamasha mbalimbali (catering).63. ** Banda la kupigisha simu64. Kuuza na kushona Uniform za shule65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki namagari67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe68. Kuuza fanicha69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairiya magari na mitambo.70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.72. Kuuza vioo73. Kushona na kukodisha nguo za harusi74. ** Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari75. Kuuza mashine za kuchomelea (weldingmachine).76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)77. ** Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirishawanafunzi78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vyaredio na televisheni79. ** Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TVGames)80. ** Kufungua benki81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift nawinchi (crane)85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.86. ** Kuanzisha viwanda mbalimbali87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbalizinazoendana na mawasiliano ya Vodacom,TTCL, AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.88. ** Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe,mikutano mbalimbali89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wabarabara na kukodisha90. Kutengeneza antenna na kuuza91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha,kutoboa na kuchana mbao92. ** Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umemewa kutumia upepo93. Biashara ya kuagiza magari94. Kufanya biashara za Jukebox95. ** Kukodisha matenki ya maji**96. Kufungua duka la kuuza Asali97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha98. Kufungua Duka la vinyago, batiki99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA,TIGOPESA, EZY PESA100. ** Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi(Gym).101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi104. Kufungua kampuni ya "Clearing and fowarding"105. Kuchezesha vikaragosi106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki107. Kuuza baiskeli108. Kuuza magodoro109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumiziya nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe,vijiko,110. Kuuza marumaru (limestones)111. Kuuza kokoto112. Kuuza mchanga113. Kufundisha Tuisheni114. Biashara za bima115. ** Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia yaanga (ndege)116. Biashara za kitalii117. Biashara za meli na maboti.118. ** Kampuni ya kuchimba visima119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wakujitegemea120. Kuuza mkaa121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali122. ** Kampuni ya kupima ardhi123. Kampuni ya magazeti124. Kuchapa (printing) magazeti125. Kuuza magazeti126. ** Kuchimba mafuta127. Kiwanda cha kutengeneza mabati128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha129. Kiwanda cha kutengeneza matairi
130. Kutengeneza vitanda vya chuma
131. ** Kununua nyumba katika Maghorofa(Apartments) na kuzikodisha.132. Kukodisha makapeti133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha.136. Kuuza Gypsum137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo138. Duka la kuuza mboga za majani139. Duka la kuuza maua.140. Kampuni ya kuzoa takataka141. Kampuni ya kuuza magari142. ** Kuuza viwanja143. Uvuvi144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi145. Uchoraji wa mabango.146. Duka la kuuza silaha147. Ukumbi wa kuonesha mpira148. Biashara ya mlm (network marketing)149. ** Yadi kwa ajili ya kupaki magari150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimoKAMA YOTE HAYA UMESHINDWA KUPATA LAKUFANYA, WEWE UTAKUWA USHAPOTEA,ENDELEA NA UTARATIBU WAKO WA KUILAUMUSERIKALIN/B: RUKSA KUSHARE NA MWENZAKO KAMA MIMI NILIVYOSHEA KUTOKA KWA MWINGINE
BY KIMARO MEDIA
Post a Comment