
Mapigano
makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni
majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani asubuhi
hii.
Magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yamefika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.
Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkuranga, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru yamefungwa kutokana na mapambano hayo.
Post a Comment