0

Bale








Kikosi cha Real Madrid kimeanza vizuri msimu mpya wa La Liga baada ya kupata ushindi wa ugenini wa magoli 3-0 dhidi ya Real Sociedad na kuchukua pointi tatu za kwanza.
Gareth Bale ambaye alifunga magoli mawili katika mchezo huo, alianza kufunga bao la kwanza dakika ya 2 kisha Marco Asensio akafunga bao la tatu na hatimaye Bale akakamilisha ushindi kwa bao la tatu dakika ya 90 na kuipa Madrid pointi tatu muhimu.

Post a Comment

 
Top