0

 

Mchezaji Ivan Rakitic ameipatia Barcelona ushindi muhimu baada ya mshambuliaji Luis Suarez kushindwa kuonyesha makali yake katika mchezo dhidi ya Athletic Bilbao.

Ivan Rakitic aliifungia Barcelona goli pekee katika mchezo huo mnamo dakika 21, akiunganisha kwa kichwa mpira wa krosi uliopingwa na Luis Suarez.
 
 Luis Suarez akifanya vitu vyake licha ya kushindwa kufunga goli.
 
Beki wa Athletic Bilbao akimshika jezi Lionel Messi ili asikatize na kuleta madhara.

Post a Comment

 
Top