0
















Kesho ndani ya chuo cha Uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) kutakuwa na patashika nguo kucha nika ndani ya mdahalo mzito utakao fanyika chuoni hapo utakao kuwa na pande mbili kati ya Ronaldo na Messi ni yupi basi ana mchango mkumbwa katika timu yake ya Taifa.


Mda halo huu utarushwa moja kwa moja na kituo cha redio cha AJTC RADIO 96.6  hivyo basi usikose kufuatilia hata kweye ukurasa wao wa fecebook #Ajtc radio

MNA KARIBISHWA NYOOOTE

Post a Comment

 
Top