
Paul Pogba kwa mara ya kwanza amesema kuhusu kilichotokea usiku ule wa Ballo D’or. Pogba amesema, “Usiku ule baada ya tukio Messi alinifuata sehemu niliyokua nimekaa na tuliongea kwa muda kidogo. Nadhani haikua heshima kwangu kwa yeye kunifata, labda mimi ningemfata yeye. Alivyokua aliniambia mambo mbalimbali ambayo yalinipa motivation ya kuendelea kucheza soka vizuri.Ninachojua kwamba mimi bado ni mdogo, nina nafasi ya kuendelea kucheza vizuri zaidi na kushinda makombe mengi”.
Ikumbukwe kwamba Pogba alihusishwa mara nyingi na tetesi za kuhamia Barcelona na ukaribu huu wa Messi na Pogba kwa kiasi kikubwa unaweza kuchangia siku moja kumuona Pogba akienda Barcelona kucheza na Messi.
Usikose kufatilia Serie A kwenye Startimes ambapo ligi yote inaonekana Live kwenye kingamuzi chako.
Post a Comment