0
Aliyekuwa mgombea wa urais wa Uganda, Maureen Kyalya, ametoa kali baada ya kuamua kumuomba rais Yoweri Museveni kumtafutia kazi ya kufanya baada ya kushindwa katika uchaguzi.

Bi. Kyalya ambaye alikuwa mgombea pekee mwanamke amesema hana ajira ya kufanya katika kipindi cha miaka mitano baada ya kumalizika uchaguzi mkuu wa uliofanyika Februari 18.


Amesema kuwa iwapo rais Museveni atachelewa kujibu ombi lake hilo itabidi ampigie simu ili kumkubusha kuwa anataka kupatiwa ajira.


Post a Comment

 
Top