Home
»
» Unlabelled
» POLISI WA SOUTH AFRICA WACHUNGUZA JUU YA VIFO VYA WATOTO KAZAA KWENYE JOKOFU
Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha uchunguzi wa vifo vya watoto watano ambao wanadhaniwa walikufa kwa kukosa hewa baada ya kukutwa kwenye jokofu.
Watoto hao watano ndugu wenye umri wa kati ya miaka mitatu na saba, waligunduliwa na Bibi yao kwenye mji wa Kakamas, Kaskazini mwa Mkoa wa Cape siku ya Jumanne.
Katika tukio jingine watoto wawili walikufa kwa kukosa hewa baada ya kufungiwa kwenye gari ambalo lilikuwa linangojewa kufanyiwa matengenezo Jijini Johannesburg.
Post a Comment