0

Klabu ya soka ya Chelsea January 21 kupitia katika account yake rasmi ya twitter imetangaza maamuzi yake mapya kwa beki wake wa kimataifa wa Senegal Papy DjilobodjiChelsea January imeendeleza utamaduni wake wa kuwatoa baadhi ya wachezaji wake kwa mkopo, ila wakati huu imekuwa zamu ya Papy Djilobodji.
Chelsea imetangaza kumtoa Papy Djilobodji  kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2015/2016kwenda katika klabu ya Werder Bremen ya Ujerumani.

Post a Comment

 
Top