
Bunge la nchini Denmark litapigia kura pendekezo lenye utata mkubwa la kushikilia mali zenye thamani za wahamiaji wanaoomba hifadhi ili kufidia kulipia gharama za kuwatuza.
Pendekezo hilo linakabiliwa na ukosoaji mkubwa nchini humo pamoja na nje ya nchi hiyo tangu lilipotangazwa na serikali ya Denmark mapema mwezi huu.
Mamlaka za nchi hiyo zimesisitiza kuwa sera hiyo inawafanywa wahamiaji wawe sawa na raia wa Denmark wasio na ajira, ambao hulazimishwa kuuza vitu vyao vya thamani vya kiasi fulani ili kunufaika na msaada wa serikali.
Post a Comment